Sierra Leone ni moja ya nchi zilizoshambuliwa na ugonjwa wa kipindipindu kwa kiasi kikubwa, na Mwezi Mei mwaka huu Serikali ya nchi hiyo ilitangaza kutokuwepo kwa ugonjwa huo.

Taarifa nyingine zilizonifikia ni idadi ya zaidi ya watu 1000 kuwekwa kwenye karantini baada ya kugundulika mwanamke mmoja amefariki kwa ugonjwa huo.

kara
Watu hao watakaa huko kwa muda wa wiki tatu ili kuepuka kuwaambukiza wenzao wakati uchunguzi ukiendelea kufanyika.

Watu Zaidi ya 11,000 wamefariki tangu kuanza kwa mlipuko wa Ebola nchini Sierra Leone, Guinea na Liberia.

Kumekuwa na matumaini baada ya kupita kwa kipindi kirefu bila kuwepo kwa ugonjwa huo na sasa hali imeanzaudia.

Post a Comment