Jose Chameleone ameonesha jinsi alivyoguswa moyoni na afya ya mwimbaji wa Tanzania, Mr. Nice aliyelazwa hospitalini wiki hii baada ya kula chakula chenye sumu.
Kupitia ujumbe alioupost Instagram, Chameleone ameiomba Afrika Mashariki kumuombea mwimbaji huyo ili apone haraka.


Mr. Nice akiwa amelazwa hopitalini
Mr. Nice akiwa amelazwa hopitalini
“I am out of words how we love and live life unfairly.Doesn’t matter our dooz and deeds. We live in a generation when fathers don’t guide sons how to be Brave and great. It’s only our mothers and Aunties that have kept presence in keeping the Woman Pride. Lucas Mkenda “MR NICE” I Love, Pray and believe that God will see you through. I have been informed By Bil the African the Blogger about your illness.I care, am soooooo disturbed by how you are.I ask Allah keep you alive As a Great African Son.
Hold faith #FagiliaBongo Leone Island Music Empire” 


Post a Comment