Utafiti
uliofanywa na taasisi inayojishugulisha na mawasala ya tafiti,
uswawishi wa sera na sheria nchni-TADIP- katika mikoa 10 ya Tanzania
bara umeonyesha mgombea urais kwa tiketi ya umoja wa katiba ya wananchi
Bwana Edward Lowassa anaongoza akiwafutiawa ma mgombea wa urais kwa
tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli.
Akiwasilisha matokeo ya tafiti kwa upande wa wagombea nafasi ya
urais mkurugenzi wa bodi ya TADIP Bwana George Shumbusho amesema.
Kuhusu matokeo ya utafiti katika ngazi wa wagombe ubunge katika kupitia vyama mbalimbali amesema.
Wakizungumza na waandsihi wa habari kuhusu matokeo ya utafiti huo, baadhi ya wanachi wamesema.
Post a Comment