Watu wengi huamini watu wengi maarufu hawawezi kukaa muda mrefu
katika uhusiano wao wa kimapenzi kutokana na umaarufu walionao na
kuchangia mahusiano yao kuvunjika.
Pamoja na wengi kushindwa kuvumiliana na kujikuta wakiachana lakini
wapo hawa mastaa ambao mpaka sasa bado wameendelea kubaki ndani ya ndoa
zao kitu ambacho wengi hawakukitarajia.
Hawa ni miongoni mwa mastaa ambao licha ya kuzungumziwa sana na vyombo vya habari lakini mahusiano yao yameendelea kuimarika.
Kim na Kanye West
Will na Jada Pinkett Smith
Bill na Hillary Clinton
Jay-Z na Beyonce
Brad Pitt na Angelina Jolie
David And Victoria Beckham
Michael Douglas And Catherine Zeta
Post a Comment