Wawili hao walikula kiapo mbele ya watu wao wa karibu zaidi ya 200 waliohudhuria katika Jonathan Club, Los Angeles, Marekani. Waigizaji wenzake wa ‘The Vampire Diaries’ walikuwa miongoni mwa walioshuhudia tukio hilo.
Ewell nan a Taaner walikutana kwa mara ya kwanza miaka mitano iliyopita nchini Autralia katika tukio la kushuti video ya wimbo wa bendi ya Sick Puppies. Walichumbiana miezi tisa iliyopita, na jana walifanikisha ndoto yao.
Post a Comment