Janjaro ambaye awali alikuwa anaitwa Dogo Janja alikuwa na kila
sababu ya kufurahi zaidi jana kwenye kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
baada ya kukabithiwa zawadi ya gari.
Rapa huyo amepewa zawadi hiyo na uongozi wa Tip Top Connection ambao
umekuwa ukimlea kimuziki hadi jana alipofikisha umri wa miaka 21.
Ameshare picha za zawadi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na kuonesha jinsi alivyofurahishwa na zawadi hiyo.
“Shukran Sana Mshua @madeeali Uko Mbalii Lakini Umenisuprise.. Sina
Cha Kukulipa Zaidi Ya Kukuheshimu Daima.. Hakika saiv Barabarani
Tutapigiana Honiii Tu Shukran Sanaaa Sanaa Sanaa MUNGU AKUWEKE,”
aliandika Janjaro.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment