Kwa mujibu wa mtandao wa E! Online
umeandika kwamba Mwanamuziki wa R&B kutokea nchini Marekani Usher
huenda ikawa amemuoa meneja girlfriend wake wa zamani Grace Miguel
ambaye pia ndiye Meneja wake wa kazi zake za muziki.
Kwa mujibu wa chanzo chao cha habari, harusi ya Usher imefanyika huko Cuba katika mji wa Havana.
Hii itakuwa ni ndoa ya pili kwa mwanamuziki huyo baada ya ndoa yake ya kwanza na Bi Tameka Foster, kuvunjika mwaka 2009.
Post a Comment