Jarida la Marekani limetoa listi ya
Mastaa wa HipHop wanaovuta mkwanja mrefu zaidi, orodha ya mwaka 2015
ambapo kama kawaida Mtu mzima ean John Combs a/k/a P Diddy anaendelea
kuwaburuza wenzake. Rapa Drake amepanda hadi nafasi ya tatu huku female
rapa akitinga kwenye 10 ya listi hiyo.
List ya Mastaa wa HipHop wenye Mkwanja Mrefu.
- Diddy $60 million
- Jay Z: $56 million
- Drake: $39.5 million
- Dr. Dre: $33 million
- Pharrell: $32 million
- Eminem: $31 million
- Kanye West: $22 million
- Wiz Khalifa: $21.5 million
- Nicki Minaj: $21 million
- Birdman: $18 million
- Pitbull: $17 million
- Lil Wayne: $15 million
- Kendrick Lamar: $12 million
- J. Cole: $11 million
- Snoop Dogg: $10 million
- Rick Ross: $9 million
- Tech N9ne: $8.5 million
- Ludacris: $8 million
- T.I.: $6 million
Post a Comment