Baraza la sanaa Tanzania BASATA, limeifungia rasmi ngoma ya Roma Mkatoliki iitwayo ‘Viva Roma’ kwa sababu hakuna ushahidi wa alichokiimba.
Taarifa ya BASATA imesema mbali na wimbo huo, pia wamezifungia nyingine zenye mahadhi kama hayo.
Ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita, Roma aliandika Instagram kuhusu kutishiwa kufungiwa kwa ‘mkwaju’ huo.
Post a Comment