October 25 2015 itaandikwa historia nyingine kubwa Tanzania kwenye Siasa ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Tanzania.

Nimeipata hii stori kutoka MICHUZI BLOG, Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu, Frolence Turuka ametembelea Ofisi za NEC na kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yalipofikia.
Tayari vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vimepokelewa katika Ofisi ya NEC na maandalizi yamefikia hatua nzuri kabisa mpaka sasahivi.
NEC II  NEC V NEC NECIII

Post a Comment