Inawezekana ilikuwa ni maneno ya kiutani au kutafuta kick kwa ajili
ya biashara zake wakati Kanye akitoa speech yake kwenye kilele cha tuzo
za MTV na kusema kwamba atagombea urais wa marekani 2020 lakini ujumbe
umeshafika kwa wadau wa siasa na raia wa nchi hiyo.
Rihanna alipohojiwa kuhusu speech ya Kanye na vipi kama Kanye akigombea kweli urais atampigia kura awe rais wake?
“Kama watu wanampigia kura Donald Trump kwa nini wasimpigie Kanye?, nitapiga kura na nimeikubali speech yake”, alijibu Rihanna.
Post a Comment