Makamba ambaye ni mjumbe wa kamati ya kampeni ya CCM, ameonesha kurasa za mbele za magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Tanzania Daima zilizokuwa na vichwa vya habari vinavyomnukuu Lowassa akitaka watanzania wasiogope.
Amepost picha za magazeti hayo kwenye twitter na kuhoji kama mfanano huo ni bahati mbaya au imeratibiwa.
Mwananchi limeandika “Lowassa: Msiogope”, Mtanzania limeandika “Msiogope”, na Tanzania Daima limeandika “Msiogope”.
Post a Comment