Staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ambaye amevishwa pete na
mchumba wake, jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa
Instagram alifunguka haya, mara baada ya kubandika picha hizihuku
akipost picha kadhaa wakati akivalishwa pete.
”Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya Mungu.. dah
nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe kuna tukio
mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa kila sku
na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat sare mara ataki tukae
tunapokaa kila sku kumbe hana plan zake nikagombana nae sana skujua
lililopo mbele nikajiwekea mawivu tuu mbele labda kuna analoogopa lakn
kumbe alikua anajambo lake alilotaka kufanya nakukamilisha sku yangu
japo alianza na zawadi ya cheni ambayo nimekua nikiizoea maana uwa
anapenda kuni suprise so sikushtuka sana japo nilimshukuru kma apo awali
nilivyoweka insta..but kubwa ni hili hapa ambalo sikulitegema..kikubwa
nikumuomba Mungu anisimamie Basi..okey endelea kuangalia ni nini
kanisuprise leo nakunishangaza tho am happy naninafuraha i love him so
much jamani ata sina lakusema Mungu nilindie huyu kijana Amen”
Post a Comment