Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chadema, Saeda
Kubenea amejitokeza hadharani kujibu hoja za Katibu Mkuu wa zamani wa
chama hicho, Dk Wilbroad Slaa.
Akihutubia katika mkutano wa kampeni wilayani Kyela, Mbeya, Mwakyembe
ameeleza mambo mengi akidai kuwa Dk Slaa aliudanganya umma kwa kutumia
ushahidi wa ripoti ya Richomond huku akifahamu fika kuwa ripoti hizo
ziko za aina mbili.
Alisema ripoti ya pili inaonesha dhahiri kuwa Edward Lowassa sio
mhusika wa sakata la Richmond. Katika hotuba yake, amesema mwenyekiti wa
kamati maalum ya Bunge iliyochunguza Richmond, Harison Mwakyembe na
aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta walikuwa na maslahi binafsi kwa
kuwa wao pia walikuwa wanamiliki makampuni ya kufua umeme.
Post a Comment