Akiwa na miaka yake 37 mshambuliaji huyo ameahidi kutoa kitabu hicho ambacho kitazungumzia pia na maisha yake akiwa Ufaransa, umuhimu wa elimu, jinsi ya kutafuta mafanikio katika maisha.
Pia kitazungumzia maisha yake ya kawaida na ya nje ya uwanja hasa akiwa na klabu yake ya Chelsea.
Kitabu hicho kitabeba jina la “Commitment“.
Post a Comment