Mwimbaji wa ‘Siachani Naye’ na ‘Nivumilie’, Barakah Da Prince amepewa shavu na rapa mkubwa nchini Kenya, Rabbit aka King Kaka Sungura.


Rabbit ambaye anatajwa kuwa kati ya rappers 5 wakubwa zaidi nchini Kenya amewapa mashabiki wake taarifa kuhusu collabo yake na msanii huyo toka jiji la miamba Mwanza.
baraka
“King Kaka ft Barakah Da Prince Loaaaaaaading….. @barakah_daprince ….. kubwaaaaa,” Rabbit aliandika Instagram.
King ameiambia Clouds Fm kuwa wimbo huo utatoka baada ya wiki mbili.


Post a Comment