Kocha
wa Chelsea mwenye miaka 52 ametokelezea kwenye red carpet na mwanae wa
kike Matilde mwenye miaka 18 wakiwa kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za
jarida la GQ.
Kwenye tukio hilo Mourihno ni
moja kati ya majina makubwa yaliyofika, wengine ni Lewis Hamilton,
Stuart Broad na zaidi. Kwenye utoaji wa tuzo Jose alishinda kwenye
kipengele cha Editor’s Choice Award na alivyoshinda alisema, “Siku zote
huwa nashinda tuzo na hiyo ni kwasababu huwa anashinda mechi za
football”.
Lewis Hamilton alishinda kwa mara ya pili mfulizo GQ Sports Man of The Year
Post a Comment