Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi –CUF, Profesa IBRAHIM LIPUMBA amejiuzulu wadhifa wa uenyekiti wa CUF. Katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini DSM, LIPUMBA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CUF taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba akionyesha rasimu ya Katiba pendekezwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ndio iliyosababisha kuungana na kuunda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi –CUF, Profesa IBRAHIM LIPUMBA amejiuzulu wadhifa wa uenyekiti wa CUF.
Katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini DSM, LIPUMBA  amesema amejiuzulu wadhifa huo alioutumikia kwa miaka KUMI kwa utashi wake binafsi na si kwa kulazimishwa.
Siku moja baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi – CUF, Profesa IBRAHIM LIPUMBA na waandishi wa habari, Mwenyekiti huyo wa CUF amekutana na wanahabari jijini DSM na kuweka bayana msimamo wake wa kuheshimu maamuzi ya Prof.LIPUMBA
Huko ZANZIBAR, Kaimu  Mkurugenzi wa Habari uenezi na mawasiliano ISMAIL JUSSA LADU amesema chama hicho kinaheshimu maamuzi ya Profesa LIPUMBA.
Hata hivyo JUSSA amesema hakuna mgogoro kati ya Viongozi wa chama hicho

Post a Comment