Winga mshambuliaji mpya aliyejiunga na klabu ya Chelsea siku chache zilizopita akitokea katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pedro Rodriguez August 23 alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na klabu yake mpya ya Chelsea na kufanikiwa kufunga goli.
2B9F9C5D00000578-3208736-Pedro_spoke_at_Barca_s_training_ground_to_say_farewell_to_all_th-a-114_1440420542197 (1)
Ndani ya masaa 24 toka Pedro afunge goli amerudi katika klabu yake ya zamani ya FC Barcelona kuaga rasmi wachezaji wenzake wazamani, Pedro alipewa muda wa kwenda kuaga katika klabu ambayo ameitumikia kwa takribani miaka 10.2B9FBB6F00000578-3208736-image-a-135_1440421181486
2B9FB04200000578-3208736-Andres_Iniesta_left_Lionel_Messi_centre_and_Sergio_Busquets_were-a-117_1440420542234
Pedro akiwa katika press room ambako kulikuwa na wachezaji zaidi ya 20 wakimuaga akiwemo Messi, Neymar na Gerard Pique
Siku kadhaa zimepita toka Pedro Rodriguez ajiunga na klabu ya Chelsea akitokea klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwa dau la pound milioni 21.4. Hivyo alirudi Hispania kuaga wachezaji wenzake ambao wengine ameishi nao katika kipindi cha zaidi ya miaka 6.

Post a Comment