IKIWA ni miezi mitatu tangu msanii wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ apate mtoto wa kike aliyezaa na mpenzi wake wa zamani, msanii huyo amesema hana mpango wa kupima vina saba ‘DNA’ kwa kuwa anaamini mtoto huyo ni wake.
“Ningefanya hivyo kama ningekuwa na wasi wasi, lakini kwa sasa wala sina wasi wasi wowote na ninakubali kuwa ni mtoto wangu maana anafanana sura na mimi,” alisema Davido.
Post a Comment