Diamond platnum baba tiffa ni msanii anayefanya vizuri katika industry ya muziki wa bongo flava na anayetambulika kimataifa na akizidi kujitanga na akiendelea kupata tunzo mbalimbali nje na ndani ya Tanzania ameandika katika page yake ya facebook hiviiii........
promised before with God's strength i will make sure i do all that i
can to help young artists who are talented and gifted in music but they
can not be able to afford the costs to make it in the music industry...
InshaAllah on Monday for the first time I will introduce the first
artist that i have Signed on XXL of @bdozen and all Media @Harmonize_Tz
( Niliahidi kuwa kwa uwezo wa Mwenyez Mungu nitajitahidi kuhakikisha
nawasaidia vijana wenzangu ambao naamini nao wanauwezo Mkubwa wa
kimuziki ila hawajakuwa na uwezo wa kujiwezesha kutoka...Inshaallah
panapo majaaliwa Jumatatu kwa Mara ya kwanza Nitamtambulisha wa kwanza
na Nyimbo yake kwenye Xxl ya @Bdozen na Vyombo vyote vya habari...)
@Harmonize_Tz
Post a Comment