2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi
ambapo leo Agosti 27 Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) walifanya
mazungumzo na mgombea Urais kupitia UKAWA, Mhe. Edward Lowassa.
Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa
Millennium tower na kuhudhuriwa na mastaa wa bongo movie akiwemo,
Jackline Wolper, Aunt Ezekiel, Shamsa Ford na wengineo.
Post a Comment