aiyolacoverfinal (1)
Diamond Platnumz ameamua kumtambulisha msanii wake wa kwanza mtu wangu kutoka kwenye lebo yake ya WCB,msanii huyu anaitwa Harmonize na singo yake ya kwanza inaitwa Aiyola, zao la Diamond Platnumz hii kile alichoahidi sasa kinatimia kabla ya kumtambulisha hichi ndiyo alichosema.....
Niliahidi kuwa kwa uwezo wa Mwenyez Mungu nitajitahidi kuhakikisha nawasaidia vijana wenzangu ambao naamini nao wanauwezo Mkubwa wa kimuziki ila hawajakuwa na uwezo wa kujiwezesha kutoka...Inshaallah panapo majaaliwa Jumatatu kwa Mara ya kwanza Nitamtambulisha wa kwanza na Nyimbo yake kwenye Xxl ya @Bdozen na Vyombo vyote vya habari...) @Harmonize_Tz

Post a Comment