1.Tanzania inaukubwa mara mbili ya Calfonia.
2.Tanzania kuna zaidi ya lugha 120 zinazoongelewa. kitu ambacho kinaonesha Tanzania inaongoza kwa kutembelewa na wageni hivyo tunajiingizia fedha za kigeni
3.Miti aina ya MPINGO maarufu sana Tanzania ni miti inayopatikana Tanzania tu pia miti hii inauzwa kwa bei ya juu sana duniani kote
4.Fuvu la kwanza la kichwa liligundulika Tanzania Olduvai George Arusha
5.Mlima kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko milima yote Africa mlima huo unapatikana Kilimanjaro
6.Tanzania, Zambabwe na South Africa nyimbo za taifa zote zinaitwa Mungu ibariki Afrika,( God bless Africa ) zilitungwa na Enock Santonga
Post a Comment