Mwaka huu ni headlines za Uchaguzi 2015
tumeona baadhi ya wasanii wameonesha kutoa support kwenye kipindi hiki
kwa wagombea Urais wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea CCM
na Edward Lowassa kupitia CHADEMA.
Miongoni mwa wasanii waliojitokeza na kutangaza rasmi kumsupport mgombea Urais kupitia CCM, Dkt.John Pombe Magufuli, kuna Wema
Sepetu, Batuli, Snura, Linex, Steve Nyerere, Diamond Platnumz, Shetta,
Barnaba,Bushoke, Kysher, Wastara na wengineo huku mwigizaji Aunty
Ezekiel na Jackline Wolper wanamsupport Edward Lowassa na sasa ni zamu
ya Nay wa Mitego.
Nay wa Mitego anamsupport Edward Lowassa kayaandika haya….>>>>Huwezi
zuia Mvua ikiamua kunyesha inanyesha tu! Tuna Imani na Lowassa. Ccm
wote bado wana Imani na Lowassa hata Kura za Urais ni kwa Lowassa.Nilikua
sipost chochote coz Nilikua nataka nisikie CCM labda wana jipya juu ya
sera yao mwaka huu coz upinzani umekua mkali, wangenishawishi kidogo.
Dooh ndo wameongeza uozo mara dufu.Watanzania wameamka si kwa uongo ule
wa jana
Milioni Hamsini kila Kijiji. Tanzania ina vijiji vingapi? Piga Hesabu
ya haraka kadilia, si chini ya bilioni 600 na zaidi.Watanzania sio
mazoba kiasi hicho tumeshtuaa…Hamjajipanga mwaka huu mmetukosa..#Mabadiliko2015
Post a Comment