Chama cha ACT-Wazalendo
kiliingia kwenye Vichwa vya Habari kubwa za Siasa Tanzania kwa siku
tatu mfululizo kutokana na ishu ya Mwakilishi wa Chama hicho kwenda
Ofisi za Tume ya Uchaguzi NEC kuchukua Fomu kwa ajili ya Mgombea Urais
Dk. Kitila Mkumbo, lakini Mgombea mwenyewe hakuwa tayari kugombea nafasi hiyo.
August 20 2015 ACT wamekaa Kikao Dar na kuyapitisha Majina mawili, Anna Elisha Mgwira kuwa Mgombea wao wa Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania October 2015 na Mussa Yusuph kuwa Mgombea Mwenza wake.
Post a Comment