Usiku wa jana Ali Kiba alikua katika jiji la Mombasa kwenye sherehe za utamaduni wa Mombasa zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mama Ngina.
Sherehe hizo zilihudhuriwa na mashabiki mbalimbali.
Nimekua pichaz za Ali Kiba na Abdu Kiba walivyoweza kunogesha sherehe hizo.
Post a Comment