Mgombea Ubunge katika Jimbo la Ludewa kwa tiketi ya CCM Bw. Deo Filikunjombe, amepita bila kupingwa wilayani humo baada ya Mgombea wa Chadema kushindwa kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa Fomu.
Msimamizi
wa Uchaguzi Wilaya ya Ludewa, Ndg. Wiliam Waziri amesema leo kuwa
Mgombea wa Chadema ameshindwa kutimiza taratibu za ujazaji wa fomu hizo
hivyo kukosa sifa ya kuwa Mgombea wa Ubunge.
Ndg.
Waziri amesema kwamba Kati ya wagombea wanne waliochukua fomu
aliyetimiza taratibu ni Mgombea wa CCM, Bw. Deo Filikunjombe pekee;
Post a Comment