Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya ‘Cheza kwa Madoido’chini ya Mtayarishaji GodFather. Diamond Platnumz ndiye aliyefanikisha video hiyo kwa
kiasi kikubwa kuweza kufanyika Afrika Kusini baada ya kuwakutanisha na
GodFather na kugharamia.
Post a Comment