Baada ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali
barani Ulaya, August 27 ni siku ambayo yanapangwa makundi ya klabu
bingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016. Makundi hayo tayari yamepangwa
katika droo iliyofanyika Monaco Ufaransa.
Hafla ya upangwaji makundi imehudhuriwa na wachezaji kadhaa maarufu wa soka akiwemo Andre Iniesta, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Luis Suarez na wengine wengi. Nakusogeza karibu na makundi yote nane ya UEFA 2015/2016.
Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE itachezwa mwezi Mei 2016 Sansiro Italia
Kundi A
- PSG
- Real Madrid
- Shakhtar Donetsk
- Malmo
- PSV
- Man United
- CSK Moskva
- Wolfsburg
- Benfica
- Atletico
- Galatasaray
- Astana
Kundi D
- Juventus
- Man City
- Sevilla
- Monchengladbach
- FC Barcelona
- Leverkusen
- Roma
- Bate
- FC Bayern
- Arsenal
- Olympiacos
- Dinamo Zagreb
- Chelsea
- Porto
- Dynamo Kyiv
- M Tel-Aviv
- Zenit
- Valencia
- Lyon
- Gent
Post a Comment