Tuzo za muziki za MTV (MTV/VMAs2015) zilifanyika Jumapili, Agosti 30, Microsoft Theater, Los Angeles, Marekani ambapo Tailor Swift alifunika zaidi baada ya kushinda tuzo nne kati ya tuzo 10 alizotajwa kushindania.



Tailor Swift alishinda tuzo ya Video bora ya Pop (Best Pop Video) na Video bora ya kike (Best Female Video) kupitia ‘Blank Space’ huku video ya wimbo wake ‘Bad Blood’ aliomshirikisha Kendrick Lamar ukimuwezesha kushinda tuzo za Video ya Mwaka (video of the year) na Video bora ya wimbo wa kushirikiana (Best Collaboration).
Tailor Swift akipokea tuzo ya Video Bora ya Mwaka
Tailor Swift akipokea tuzo ya Video Bora ya Mwaka
Hii ni orodha kamili:
Best Rock Video: Fall Out Boy, Uma Thurman
Best Pop Video: Taylor Swift, Blank Space
Best Male Video: Mark Ronson featuring Bruno Mars, Uptown Funk
Best Hip-Hop Video: Nicki Minaj, Anaconda
Best Female Video: Taylor Swift, Blank Space
Best Video With a Social Message: Big Sean featuring Kanye West & John Legend, One Man Can Change the World
Song of the Summer: 5 Seconds of Summer, She’s Kinda Hot
Best Collaboration: Taylor Swift ft. Kendrick Lamar, Bad Blood
Best Direction: Kendrick Lamar, Alright (Colin Tilley & the Little Homies)
Best Choreography: OK Go, I Won’t Let You Down (OK Go, air:man and Mori Harano)
Best Cinematography: Flying Lotus feat. Kendrick Lamar, Never Catch Me (Larkin Sieple)
Best Art Direction: Snoop Dogg, So Many Pros (François Rousselet, Jason Fijal)
Best Editing: Beyoncé, 7/11 (Beyoncé, Ed Burke, Jonathan Wing)
Best Visual Effects: Skrillex and Diplo feat. Justin Bieber, Where Are U Now (Brewer, Gloria FX, and Max Chyzhevskyy)
Artist to Watch: Fetty Wap
Video of the Year: Taylor Swift featuring Kendrick Lamar, Bad Blood
Michael Jackson Video Vanguard Award: Kanye West

Post a Comment