Shirika la maendeleo la umoja wa mataifa la UNDP limesema misaada ya maendeleo nchini itakayotolewa na shirika hilo katika mwaka huu wa fedha itaelekezwa katika miradi
Kaimu mkurugenzi mkazi wa UNDP, AMON MANYAMA
Shirika la maendeleo la umoja wa mataifa la UNDP limesema misaada ya maendeleo  nchini itakayotolewa na shirika hilo katika mwaka huu wa fedha itaelekezwa katika miradi itakayotoa nafasi nyingi za ajira kwa vijana.
Akizungumza jijini DSM kwenye mkutano wa wadau wa maendeleo wakiwemo wawakilishi kutoka mashirika ya kimataifa,  kaimu mkurugenzi mkazi wa UNDP, AMON MANYAMA amesema misaada ya mashirika ya kimataifa italenga kuwasaidia vijana katika kujiajiri au kuajiriwa.
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment