Mwenyekiti
wa CCM Taifa ambaye ni President wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Jakaya Kikwete leo August 17 2015 alikiongoza kikao cha kamati kuu
maalum kwenye ofisi za makao makuu ya chama, ofisi ndogo Lumumba.
Picha zote hizi na maelezo yake ni kwa mujibu wa Issamichuzi.blogspot.com ambapo wengine waliohudhuria ni pamoja na katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Dr. Ali Mohamed Shein.
Kwenye picha nyingine wanaonekana Wajumbe wa kamati kuu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment