Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.
.
Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika..’Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE’ – Professor Jay

Post a Comment