Pichaz za Birthday Party ya DJ na ndugu wa Diamond Platnumz, mastaa wa Bongo nao ndani !!
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni Ndugu yake na msanii Diamond Platnumz lakini pia ni Official Dj wake alifanya Party yake August 16 2015 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
Diamond Platnumz ambaye ni ndugu pia ni rafiki wa karibu na Romy kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kusheherekea party hiyo….. na kwenye list ya mastaa waliotokea walikuwepo pia Barnaba, Vee Money, Queen Darleen, Pipi, Aunt Ezekiel, Jux, Kamikaze, TID, Madee, Shilole, na wengine.
Unaweza kucheki pichaz ambazo mtu wako wa nguvu nimekusogezea uzicheki na usipitwe pia.
Post a Comment