Usiku wa kuamkia tarehe August 19 2015
katikati ya Jiji la Nairobi Kenya, kuna kitu kipya kimegusa headlines za
burudani East Africa… Sauti Sol ni wakali toka Kenya, Dunia inawajua hawa jamaa na Ali Kiba ni staa mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva ambaye pia amehahi kukaa kwenye ngoma moja na mastaa wakubwa Duniani ikiwemo R. Kelly na Fally Ipupa, yes anatuwakilisha vizuri sana huyu jamaa kupitia muziki wake mzuri.
Sauti Sol na Ali Kiba wamekamilisha wimbo wao wa pamoja waliotangaza kuufanya wiki kadhaa zilizopita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment