Mwanamziki nyota wa kizazi kipya LINNA SANGA amepanga kufanya matamasha ya kuzindua wimbo wake wa NO STRESS katika mikoa mbalimbali nchini
LINNA SANGA
Mwanamziki nyota wa kizazi kipya LINNA SANGA amepanga kufanya matamasha ya kuzindua  wimbo  wake wa NO STRESS katika mikoa mbalimbali nchini.

Wakizungumza jijini DSM,wadhamini wa matamasha hayo,shomari shija kutoka serengeti breweries na mwanamziki LINNA SANGA wamesema mashabiki wajiandae kupata burudani ya kukata na shoka kwenye mikoa yao.

Post a Comment