Hii itatukumbusha mwaka 2001 ambapo rapper Ja Rule, alifanya “tour” ya pamoja kimuziki na mkali Ashanti
Ja Rule amekuwa akijitahidi kufanya kazi kwa bidii kipindi hiki, ili kulirudisha jina lake katika ramani nzuri kama zamani.
Zimesalia siku kadhaa kuzindua ‘reality show’ yake kupitia MTV, yupo
‘location’ akindaa muvi mpya pamoja na bifu yake na 50 Cents ambayo
kidogo ina masihara.
Sasa akipiga story na Billboard, Ja rule amefungukia ziara ya pamoja
ya kimuziki na Ashanti katika majimbo kadhaa, mbali na tour hiyo pia
ameongeza kuwa wanaandaa filamu ya pamoja walioiita Natural Born
Killers.
Post a Comment