Collabo ya Justine Bierber na Selena Gomez yavuja

Japokuwa wawili hao waliowahi kuwa wapenzi kutengana na kila mtu kuishi life lake, lakini soon tarajia sauti zao zikiwa ndani ya mkwaju mmoja.

Producer aliyetengeneza ngoma hiyo mtu mzima Ninteen85 amevujisha ngoma hiyo ambayo tayari imeshakuwa gumzo.

Bado haijajulikana kama ngoma hiyo itakuwa kwenye albamu ya Bierber inayotarajiwa kutoka November 13 mwaka huu.

Kufuatia ishu ya collabo hiyo, tayari wadau wa mastaa hao wameshaanza kuulizana je huenda Couple hiyo ikarudi tena kwenye maisha yao ya mahusiano, na ii ni kutokana na wawili hao kila mmoja kwa wakati wake kuweka wazi kwamba bado anamzimia mwenza wake.

Post a Comment