Mashabiki wa Wema Sepetu waliingiwa na hofu kali baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kuandika post yenye utata.
“Pole Dada @wemasepetu mungu akupe nguvu
katika kipindi hiki kigumu, akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke
hospitali ukiwa salama inshaallah, kazi Yake Mola haina makosa
#INASEMEKANAETI,” aliandika Soudy kwenye Instagram.
Wengi walitafsiri post hiyo kuwa huenda
ujauzito wa Wema ukawa umetoka. Wengine walienda mbali zaidi hadi
kutengeneza chat za Whatsapp kukuza zaidi kama hiyo chini.
Hata hivyo inaonekana kuwa hakuna ukweli
wowote. Wema amepost picha kwenye Instagram akiwa mwenye furaha na
kuandika: It all began with a smile…”
Comments zote za mashabiki wake zinaonekana kujikita kwenye tetesi hizo.
“@wemasepetu my lv,pliiiiizzz stop
kuonesha mimba yako in public for sometyms now wala mtu yoyote kushika
tumbo lako,km siyo yo family members and baba k pliiiiiiizzzz,coz
ushaona how people wish mimba yako iharibike au kitokee kitu kibaya
kwenye mimba yako na kweli wamefurai as you see,pliz stop it kama
unapenda kuitwa mama for real,yup waweza ukawa wawish for everyone to
see yo preg as umesuffer alot kuipata,that is to prove pplo wrong kwamba
hata wewe umeshika mimba and its de first tym,I know wat yu fil,ila
tunaokupenda tuna wish ujifungue salama mdA ukifika..pliz pumzika mama
for now mimba haiitaji stresses na hiyo ndo kitu naona maadui zako
wanajaribu kufanya,to stress u,pliiiiiiizz @idrissultan take Care of the
baby,kip wema out of negativity,#we in pressure now#minb,” ameandika
shabiki mmoja.
Post a Comment