Ray Kigosi: Situmii ‘mkorogo
Muigizaji wa kiume wa Bongo Movies anayetajwa kuwa ghali zaidi, Vicent ‘Ray’ Kigosi, amesema yeye hajichubui wala kutumia mkorogo kama wengi wanavyodhani.
Ray amedai siri ya kupata rangi nyeupe aliyonayo hivi sasa, ni kwa kuwa anakunywa maji mengi na kufanya mazoezi sana.
Amefunguka na kuweka bayana kuwa pengine maisha bora aliyonayo ndio yanazidi kumng’arisha zaidi.
Post a Comment