Serikali imeipa siku thelathini Menejimenti ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini TASAF kuwatafuta na kuwafikisha katika vyombo vya sheria watu waliohusika na kuzitumia kinyume na taratibu fedha zilizopangwa kwa ajili ya miradi ya TASAF.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora anjela
kairuki ametoa agizo hilo mara baada ya kukutana na wafanyakazi wa mfuko
huo na kusema kuwa kamwe Serikali haiwezi kuvumilia fedha zikitumika
vibaya ambao pia ametaka miradi ya tasaf kutoa ajira zaidi
nchini...angela ka
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Tasaf Ladislaus Mwamanga amesema uwepo
tasaf kwa kiasi kikubwa umesaidia kuzifikia kaya maskini nchini na
kuzipunguzia makali ya umaskini ambayo walikuwa nayo.
Post a Comment