Drama ya mapenzi bado inaendelea kati ya mastaa Idriss Sultan na
muigizaji Wema Sepetu, Safari hii shabiki kazama katika Timbwili hili.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Idriss kamjibu shabiki ambaye
alikuwa akimdhihaki kwa kumpa pole kufuatia picha zake kufutwa na mrembo
Wema Sepetu.
“Dah pole sana @Idrissultan zimefutwa pic zake zote sikupatii picha
moyo wako unavyoenda mbio hahahah mfupa uliomshinda fisi utauweza wapi
wewe paka” aliandika shabiki huyo.
Idriss hakumkawiza akaamua kumjibu, tazama hapo chini,
Post a Comment