Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko wa Habari Tanzania (TMF) Ernest Sungura amesema taasisi yake iko tayari kugharamia matangazo ya...
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo Baada Ya Kupata Ajali
NAIBU Spika Dk. Tulia Mwansasu, amepata ajali mkoani Mbeya alikokwenda kwa ajili ya mapumziko. Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya...
Gesi nyingine imegundulika Bongo, ipo mkoa huu.
Tanzania imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto R...
Hanscana: Q chief tuache new generation tufanye yetu, tunamwaka mmoja ndani ya ‘game’ tuna drive na tunaishi vizuri.
Muongozaji wa video nchini Hanscana, amemjibu Q Chief kuhusu tuhuma alizowarushia directors wa video wa bongo kwam...
Rais Magufuli Azungumza Na Katibu Mtendaji Wa Afrika Mashariki.....Wameongea Nini? Bofya Hapa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiy...
“Watu wanafutwa kwenye urithi we unaangalia picha” Idriss Sultan amjibu shabiki.
Drama ya mapenzi bado inaendelea kati ya mastaa Idriss Sultan na muigizaji Wema Sepetu, Safari hii shabiki kazama katika Timbwili hil...
Chege:Napiga Stori na mwanangu kama tupo umri mmoja.
Msanii anayefanya vizuri katika muziki wa BongoFleva nchini Said Chege, ”Chege” amesema kuwa huwa anajisikia vyema kipindi anapokuwa ...
Bodi ya Mikopo Ya Wanafunzi Yatoa Utaratibu wa Kuwasilisha Malalamiko.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya wanafunzi wanaopata mik...
Mwakyembe: Katiba Mpya sio Kipaumbele cha Rais Magufuli....Wanaofikiri Tutaanza Na Rasimu Ya Warioba Wanapoteza Muda
D r. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na Sheria amewataka Watanzania wanaoulizia hatima ya mchakato wa katiba mpya kutam...
Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne -2015 Ufaulu umeshuka kwa 1.85%
Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ...
Ali Kiba kufanya kolabo na Deborah Oluwaseyi ‘Seyi Shay’ wa Nigeria mwezi ujao
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwezi ujao anatarajiwa kukwea pipa hadi nchini Nigeria kwa ajili ya kufanya kazi na mwanamuziki wa nchi ...
Breaking News: Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne -2015 Yametoka....
Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne Yametoka.
Ray Kigosi: Situmii ‘mkorogo
Muigizaji wa kiume wa Bongo Movies anayetajwa kuwa ghali zaidi, Vicent ‘Ray’ Kigosi, amesema yeye hajichubui wala kutumia mkorogo kama ...
Kasi Ya Rais Magufuli Yawagonganisha Waziri Wa Afya na Mkuu wa Wilaya Temeke
Siku mbili baada ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kusema Wilaya ya Temeke inaongoza mkoani Dar es Salaam kwa kuwa na wagonjwa ...
Picha Za Shilole Na Nuh Mziwanda Waringishiana Wapenzi Wao Huko Instagram,Je?
Kama ulikuwa ni msiba wa ‘penzi’ basi arobaini imeisha na sasa maisha yanaendelea kwa wasanii wa Bongo fleva, Shilole na Nuh Mziwanda...
Mwanasheria Wa Serikali na Askari Magereza Washikiliwa kwa Kumtorosha Mtuhumiwa Gerezani
Mwanasheria wa Serikali Mkoa wa Katavi pamoja na askari magereza wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhu...
Majipu Yaendelea Kutumbuliwa....Wakurugenzi Wanne wa Halmashauri Mkoani Kagera,Mtwara,Geita na Tunduma Wasimamishwa Kazi
WAZIRI nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mtaa,George Simbachawane amewasimamisha kazi wakurugenzi wa nne kwa...
Jokate:wasanii waache kuvimba vichwa.
Wasanii nchini wamekumushwa kuwa njia pekee ambayo itawawezesha kuwa na mafanikio katika fani zao ni kufanya kazi kwa heshima bila k...
Muhimu: Taarifa ya Baraza la mitihani kuhusu matokeo ya kidato cha Nne 2015.
Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazo...
Mimba ya Wema Sepetu 'Yatoweka Ghafla'........., Idris aandika ya moyoni kuhusu kupoteza mapacha wake
Mpenzi wa Wema Sepetu, Idris Sultan usiku wa kuamkia Jumatano hii amepost picha ya watoto mapacha huku akiandika ujumbe unao ...
Nape Nnauye Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Wa Habari Na Matukio Pamoja Na Meneja Wa Vipindi TBC
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Shirika la Utangazaji...
Waziri wa Afya awasimamisha wakurugenzi wanne MSD
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha wakurugenzi wanne toka Bohari ya Dawa ya ...
Maofisa wa Wizara ya Afya Wahama Muhimbili Kutekeleza Agizo La Rais Magufuli
AGIZO la Rais John Magufuli la kuibadilisha jengo la maofisa wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto li...
ACT-Wazalendo Wapinga Uchaguzi wa Marudio Zanzibar........Wamtaka Rais Magufuli Afute Posho za Makalio Na Matumizi Ya Magari Ya Anasa
Maazimio Ya Kamati Kuu Ya ACT-Wazalendo Kufuatia Kikao Chake Kilichofanyika Jumamosi 13 Februari 2016 Katika Hoteli Ya Kagame Jijin...