Rais
mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya mapinduzi ya
Zanzibar (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo mchana
nyumbani kwake mji mwema Kigamboni jijini Dar es salaam na anatarajiwa
kuzikwa kesho Zanzibar. Imeelezwa kuwa kutokana na umri wake maradhi
mbalimbali yalikuwa yakimsumbua.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment