Diamond Platnumz amegeuka kuwa msanii anayetafutwa zaidi na wasanii wa nchi mbalimbali Afrika kwaajili ya collabo.
Baada ya kushirikishwa na msanii wa Zimbabwe Jah Prayzah kwenye wimbo
Watora Mari, mkali huyo ameshirikishwa kwenye wimbo mwingine na msanii
wa Ivory Coast, Serge Beynaud.
Post a Comment