Kisa na mkasa ni
Wema kuisusia show ya Idris, Funny Fellas kwa mara nyingine tena huku
mshindi huyo wa Big Brother akihudhuria za mpenziwe, ikiwemo Black and
Tie iliyofanyika mwezi uliopita.
Baada
ya kuchoshwa na tabia ya mpenzi wake kutompa support kwenye show zake,
Idris naye aliamua kuipotezea show ya Usiku wa Vigoma iliyoandaliwa na
Sepetunga mwishoni mwa wiki – na hapo ndipo mambo yalipoharibika.
Mashabiki wa Wema wamekasirika baada ya shemeji yao kuikwepa show hiyo na wanamshambulia Instagram.
Kutokana na kuandamwa, Idris amelazimika kuongea:
Mashabiki wa Wema wamekasirika baada ya shemeji yao kuikwepa show hiyo na wanamshambulia Instagram.
Kutokana na kuandamwa, Idris amelazimika kuongea:
"Sipendi
kuona watu wakiingia na kuongea kama wanajua maisha yangu na watu wangu
wa karibu, makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu mnaanza “Ndio
asingefanya vile kama sio wewe kufanya hivi” mnakazana kusema eti
naposti wanawake mara ooo porojo kibao. Sina freedom ya kumpost dada
angu ? Kweli ? Au rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi mpost
nikampongeza?
"Mnauliza
kwanini sijaenda vigoma nimesema because show yangu hakuja hata moja na
nimeenda show zake zote na yeye halalamiki because anajua nimesema
siendi fair enough mbona hamjaongelea hilo? I repeat nikikaa kimya is
for a pure reason that it’s not anyones business this is my personal
life kama mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza kwanini mpaka am
selling out hajaja.
“Give
me a break sina maisha ya kuigiza lets have respect for each other
bana. Na nimesema msiniite shemeji for one big good reason, imekua too
much i am a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua this from
the beginning nisingeruhusu mniite tangu mwanzo so msiwe kila kitu
mnafikiria negative tu. Na sikuwa na haja ya kuandika yote haya pia
TusichukulianePoa."
Hata
hivyo Wema naye alimpigilia msumari wa moto Idris kwa kupost picha ya
wanaume anaowapenda #MCM (Man Crush Monday) na mmoja wao ni Diamond.
Wengine ni Alikiba, Korede Bello, Jamal wa Empire, Cyrill, Trey Songz, Van Vicker na wengine.
Post a Comment