Mchezaji mpya aliyesajiliwa hivi
karibuni Granit Xhaka na Rob Holding wanatarajiwa kuichezea Arsenal kwa
mara ya kwanza dhidi ya Liverpool lakini mabeki Mertesacker ,Gabriel na
Carl Jenkison wote wakiwa na majeraha.
Danny Welbeck pia anauguza
jeraha,huku wachezaji fainali ya Euro2016 wakiwa Laurent Koscielny na
mwenzake Giroud bado wakiwa hawako tayari kushiriki katika mechi hiyo.Liverpool itamkosa mshambuliaji wake mahiri Daniel Sturridge na James Milner kutokana na majeraha ya nyonga na kisigino.
Hatahivyo huenda Sadio Mane ,Georginio Wijnaldum na Joel Matip wakaanzishwa kwa mara ya kwanza.
Post a Comment