Msanii Ray C amevijia juu vyombo vya habari vinavyoandika taarifa za uongo juu yake, kuwa amerudia kutumia madawa ya kulevya, na kuahi...
Basi Kutoka Mwanza Laua 6 na Kujeruhi 38
Watu sita wamekufa na wengine zaidi ya 38 kujeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Iringa baada ya basi walilokuwa wakisafiri...
Watumishi hewa 169 wagundulika Kigoma.....Mkuu wa Mkoa awataka wakurugenzi kubainisha kiasi walicholipwa mwaka mzima.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Emanuel Maganga amewataka wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo katika halmashauri zo...
Rais Magufuli Ahudhuria Ibada Ya Ijumaa Kuu Leo Jijini Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuubusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika...
Sendeka ateuliwa Msemaji wa CCM
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemteua kada wake, Christopher Ole Sendeka, kuwa msemaji wa chama hicho akichukua nafasi ya Nape Nnauye, am...
Eti hii ndio itakuwa mechi yake ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambaye kwa sasa anaifundisha kl...
Mahakama Yatupilia Mbali Maombi ya Kuzuia Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar Es Salaam...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru uchaguzi wa meya na naibu meya wa Jiji la Dar es Salaam, kufanyika leo kama ilivyopangwa. ...
Lucy Mayenga Ajisalimisha....Amuomba Rais Magufuli Ampumzishe Ukuu wa Wilaya
Wakati Taifa likisubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya huku wanaoshikilia nafasi hizo wakiwa katika chekeche kwa kuzingatia vigezo vitano,...
Breaking News : Rais Magufuli Ampiga Chini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.....John Kijazi Kateuliwa Kuchukua Nafasi Yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu M...
Harmonize: Mwezi wa 3 mwishoni nitaachia album yangu, tayari imekamilika.
Wimbo wake mpya ‘Bado’ ndio unasumbua sasa hivi kwenye stations mbali mbali za Radio na TV, taarifa nzuri inabidi...
Mizengo Pinda Awataka Watumishi wa Umma Wazingatie Maadili ili Wasitumbuliwe MAJIPU
Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe. Mizengo Pinda ametoa wito kwa watumishi wa Umma kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia sheria na...
Meneja wa Yamoto Band Said Fella Ajipanga Kugombea Urais wa Tanzania Mwaka 2040
Meneja wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family Said Fella ‘Mkubwa Fella’ anajipanga kuogombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muun...