Ni headlines za mwimbaji wa bendi kutoka Akudo Impact, Taasisi Masela ambae kwasasa yupo katika maandalizi ya kutoa single zake ikiwemo matarajio ya kuwepo kwa collabo yake na msanii wa Nigeria Davido.
Mwimbaji huyo akiipata heshima..>>Kuhusu
collabo yangu na Davido ndiyo ipo tulikutana congo wakati nilipoenda
kusheherekea miaka 30 yangu na bahati nzuri Davido nilishawahi kusafiri
nae kwenye ndege moja basi tukabadilisha mawasiliano yeye alikuwa
akielekea London mimi naelekea Dubai
‘Kwahiyo
basi mazungumzo yetu yalikuwa na marefu sana nikazungumza nae kuhusu
collabo yangu na yeye akanimbia kwa kipindi hiki yuko busy sana
tukapanga kuanzia mwakani itabidi niende Nigeria kukamilisha collabo
hiyo’
Post a Comment